Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » kampuni ya bia ya Serengeti yakabidhi zawadi ya piki piki kwa mshindi wa promosheni ya vumbua hazina chini ya kizibo.

kampuni ya bia ya Serengeti yakabidhi zawadi ya piki piki kwa mshindi wa promosheni ya vumbua hazina chini ya kizibo.

Written By mpekuaji on Monday, May 14, 2012 | 12:43:00 PM

Meneja wa bia ya Serengeti Premium Lager Allan Chonjo akimkabidhi kadi ya usajili wa pikipiki kwa mshindi wa Vumbua hazina chini ya kizibo bw.Ibrahim kimambo mkazi wa tabata Dar aliyejinyakulia pikipiki.Makabidhiano hayo yalifanyika hapo jana katika viwanja vya Dar Live mbagala jijini Dar es salaam.
Mshindi wa pikipiki katika promosheni ya VUMBUA HAZINA CHINI YA KIZIBO inayoendeshwa na kampuni ya bia ya serengeti Bw.Ibrahim Kimambo akiwasha pikipiki baada ya kukabidhiwa na meneja wa bia ya serengeti lager Allan Chonjo kushoto. 
Meneja wa bia ya Serengeti Premium Lager Allan Chonjo (kulia) akizungumza machache kabla ya kumkabidhi  mshindi wa piki piki kupitia promosheni ya Vumbua hazina chini ya kizibo,makabidhiano hayo yalifanyika jana kwenye viwanja vya Dar Live,Mbagala jijini dar ambapo watu mbalimbali walishihudia tukio hilo.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts