
Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya Rais kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jana jioni, akitokea nchini Marekani ambapo alihudhuria mkutano wa G8.


Post your Comment


