Get the latest updates from us for free

mas template
Home » , » TPA WATEMBELEA MBUGA ZA WANYAMA

TPA WATEMBELEA MBUGA ZA WANYAMA

Written By mpekuaji on Thursday, May 17, 2012 | 12:55:00 PM

 Baadhi ya Wafanyakazi Bora wakifurahia jambo wakati wa mapumziko katika hifadhi ya Serengeti.
Baadhi ya Wafanyakazi wakimsikiliza mhifadhi wa Bonde la Oldupai Gorge (hayupo pichani) wakati akitoa maelezo kuhusu historia ya bonde hilo.
 Mojawapo ya hoteli za kitalii walipofikia Wafanyakazi Bora wa TPA.
 Maafisa wa TPA, Janeth Ruzangi (kushoto) na Jones Macha (kulia) katika mapumziko baada ya safari ndefu mbugani.
 Wafanyakazi na  watalii wengine wakimshuhudia Simba mara baada ya kuwinda Nyati katika Mbuga ya Serengeti.

Wafanyakazi wa Bandari Mwanza, Dar Port na Makao Makuu katika picha ya pamoja ndani ya bonde la Ngorongoro

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts