Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » WAREMBO MISS NYAMAGANA WATEMBELEA MBUGA ZA SERENGETI

WAREMBO MISS NYAMAGANA WATEMBELEA MBUGA ZA SERENGETI

Written By mpekuaji on Monday, May 28, 2012 | 9:43:00 PM

Katika kuboresha zaidi ufahamu wa rasilimali zilizopo nchini katika sekta ya Utalii warembo wa kinyang'anyiro cha miss Nyamagana kinachotaraji kufikia tamati Ijumaa hii ya tarehe 1/06/ 2012 ndani ya Gold Crest Mwanza, wametembelea mbuga za wanyama Serengeti kujionea mazuri ya Taifa lao.

Ziara hiyo imekuja kama sehemu ya somo kwa vitendo na si nadharia ili kuweza kulielezea vyema taifa lao na si kwa hisia kama mashindano kadhaa yalopita...

Warembo miss Nyamagana wakipata flash na moja kati ya watalii toka nje ya Tanzania.

Kujimix time....

CEO wa The big top ten Muhksin Mambo akishow love na warembo miss Nyamagana.

Macho ya watalii wa ndani warembo wa miss Nyamagana yalifanikiwa kuona maadhari hii...

Tembo...

Ndani ya Usafiri kuidhuru mbuga ya Serengeti.

Pozzi na mapozesi.

Jeh! ni nani kati ya hawa kuvishwa taji la Miss Nyamagana 2012? 
Jibu kupatikana  Ijumaa hii 1/06/2012 katika ukumbi wa Nyerere ndani ya Gold Crest Hotel Mwanza.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts