
Kijana ambaye hakufahamika jina lake,akiwa amebeba Majani ya kulishia Ng'ombe katika eneo la Mkimbizi Manispaa ya Iringa.Biashara ya kuuza majani ya Ng'ombe imekuwa ikisaidia vijana wengi katika sekta isiyo rasmi. Picha na Meshack Maganga
Advertisement
hapa