Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » EXCLUSIVE: BELLE NINE KUTOA 'VITAMIN YA MUSIC'

EXCLUSIVE: BELLE NINE KUTOA 'VITAMIN YA MUSIC'

Written By mpekuaji on Sunday, June 10, 2012 | 8:20:00 AM



Baada kufanya wonders with his debut albam "Sumu Ya Penzi", hatimaye this wapenzi wa muziki mzuri in Tzee music industry will have their hands on the second albam of Abenago Damian alias Belle 9 goez by the name of "Vitamin Music".

 
The 10-tracks albam features heavy production from different producers and combos kutoka kwa best artists in showbiz kwenye ngoma kama, "Vitamin Music" feat Joh Makini, "Sababu ni Moja feat. Baby Madaha" - produced by Pancho Latino, "Unavyotaka and Amerudi" produced Tris, "Nilipe Nisepe", "Goodtime" feat Mr. Vs, "Usiku na Mchana", "Kuforce Penzi" feat. Baghdad, "Zaidi ya Star", zote chini mkono wa Mona Ganster, executive producer wa albam yake ya kwanza.

 Talking about the albam release date, Belle 9 alisema: "Its about about wapenzi wa Good music family wakae mkao wa kula kulishwa, "Vitamin Music". Albam ambayo itawakinga na ugonjwa wa "Ukosefu wa Burudani ya Ukweli". 

Though sijapata excat date ya albam kuingia sokoni lakini na imani kubwa itatoka baada ya kuachia video ya ngoma yangu ya "Amerudi", pia  nawakikishia fans hawatoujutia muda wao wa kuisubiri albam yangu."

We hope it will meet the expectations!

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts