Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » JACKIE Chandiru wa Uganda achaguliwa kufungua show ya Sisqo

JACKIE Chandiru wa Uganda achaguliwa kufungua show ya Sisqo

Written By mpekuaji on Tuesday, June 12, 2012 | 12:35:00 PM

Mwananadada Jackie Chandiru amekuwa msichana pekee atakayefungua show ya Sisqo, mwezi August mjini Kampala Uganda ambapo ataungana na Jose Chameleone na rais wa Ghetto, Bobi Wine.

Mapromoter wa show hiyo Chinedu Ikoroha na Misairi Kabira wamemchagua Jackie na kuwamwaga Iryn Namubiru, Juliana Kanyomozi, na Keko baada ya kuonekana kuwa uwezo wake ni mkubwa katika stage.


Jackie Chandiru ni mwanamuziki wa zamani wa kundi Blu3 ambapo tangu mwaka 2010 amekuwa na mafanikio makubwa kama solo artist.

Tayari ameshasaini mkataba na sasa anasuburi show hiyo ya mwanamuziki wa kundi la Druhill Sisqo aliyetamba na vibao kama Thong Song, Unleash the Dragon na Incomplete.

Show ya Sisqo itafanyika kwenye uwanja wa Kyadondo Rugby tarehe 25, August 2012.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts