Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » Mkutano wa CCM Jangwani leo

Mkutano wa CCM Jangwani leo

Written By mpekuaji on Saturday, June 9, 2012 | 9:54:00 PM

 Maelefu wakiwa wamefurika kwenye mkutano wa hadhara wa CCM unaofanyika  jioni hii kwenye VIwanja vya Jangwani, jijini Dar es Salaam. Mkutano huo ni wa kuwapongeza viongozi wa mashina na matawi waliochaguliwa katika uchaguzi wa CCM ulifanyika kwa ngazi hizo mkoani Dar es Salaam.






Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts