Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » SHEREHE YA KUWAAGA WANAFUNZI WA MWAKA WA TATU WANAOSOMA SHAHADA YA KWANZA YASOSHOLOJIA YA UDOM YAFANA USIKU WA KUAMKIA LEO KATIKA UKUMBI WA VETA MJINI DODOMA

SHEREHE YA KUWAAGA WANAFUNZI WA MWAKA WA TATU WANAOSOMA SHAHADA YA KWANZA YASOSHOLOJIA YA UDOM YAFANA USIKU WA KUAMKIA LEO KATIKA UKUMBI WA VETA MJINI DODOMA

Written By mpekuaji on Saturday, June 9, 2012 | 10:05:00 AM

Mgeni rasmi ambaye pia ni Mkuu mpya wa Wilaya ya Dodoma Mjini Mh Leph Gembe akiingia Ukumbini huku akisindikizwa na Mwenyekiti wa taasisi ya wanafunzi wanaosoma shahada ya kwanza ya sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma(UDOMSSO) aliyemaliza muda wake Bw Emmanuel Misungwi katika ukumbi wa veta uliopo Mkoani Dodoma katika Sherehe ya kuwaaga mwaka wa tatu wanaosoma shahada ya kwanza ya sosholojia ya chuo kikuu cha Dodoma (UDOM)
Mgeni rasmi ambaye pia ni Mkuu Mpya wa Wilaya ya Dodoma Mjini (Wa Pili Kushoto)Mh Leph Gembe akiwa katika Picha ya Pamoja na baadhi ya Viongozi wa taasisi ya wanafunzi wanaosoma shahada ya Kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma(UDOMSSO) ambao wamemaliza muda wao ambapo wa kwanza kushoto ni Mwalimu mlezi wa taasisi hiyo Bw. Jeremiah katika sherehe ya Kuwaaga wanafunzi wa mwaka wa tatu wanaosoma shahada ya kwanza ya sosholojia
Baadhi ya wanafunzi wa mwaka wa tatu ambao wanasoma shahada ya kwanza ya sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma Wakiingia ukumbi kwa staili ya kucheza kwaito katika sherehe ya kuwaaga mwaka wa tatu iliyofanyika katika ukumbi wa veta uliopo dodoma mjini.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts