Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » HIZI NDIO VIDEO 7 NYINGINE ZA AFRIKA NINAZOZIONA SANA KWENYE TV.

HIZI NDIO VIDEO 7 NYINGINE ZA AFRIKA NINAZOZIONA SANA KWENYE TV.

Written By mpekuaji on Tuesday, July 31, 2012 | 6:47:00 AM



Time yangu nyingine huwa naitumia kuchek Tv mbalimbali za nje na ndani ya bongo ndio maana nimeona hii sehemu niitumie kukupa hizo video ambazo nakutana nazo sana kwenye kioo changu wakati huu.

Azonto ni kutoka Ghana, Ay kutoka Tanzania, P Square wa Nigeria, Rich Mavoko Tanzania, Jose Chameleone Uganda, Bottom Bele na Chuddy K ni Wanigeria... chukua time yako ziangalie alafu niambie ambazo wewe umekutana nazo sana kwenye Tv yako, unaweza kulike na kutweet ili na wenzako waone pia mtu wangu.












Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts