Get the latest updates from us for free

mas template
Home » , » TREY SONGZ AIKATAA PICHA INAYOONEKANA AKIMBUSU MWANAUME MWENZAKE....

TREY SONGZ AIKATAA PICHA INAYOONEKANA AKIMBUSU MWANAUME MWENZAKE....

Written By mpekuaji on Friday, December 28, 2012 | 3:26:00 PM



Muimbaji wa R&B Trey Songz ameibuka na kukanusha kuwa si yeye aliyepiga picha iliyoenea mtandaoni akiwa anambusu mwanaume mwenzie.


Trey amekuwa akizushiwa kuwa shoga kwa muda mrefu lakini picha hiyo imewafanya wengi waamini kuwa ni kweli sio riziki.

Picha hiyo inaonekana ilichukuwa kwenye siti ya nyuma ya gari ikionesha mtu anayefanana na Trey akimbusu mwanaume.


Baada ya kuiona picha hiyo Trey alitumia Twitter kuandika:
trey2

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts