Get the latest updates from us for free

mas template
Home » , » VIDEO:DUME ZIMA LAPIGWA NA MALAYA BAADA YA KUSHINDWA KULIPA DENI

VIDEO:DUME ZIMA LAPIGWA NA MALAYA BAADA YA KUSHINDWA KULIPA DENI

Written By mpekuaji on Saturday, December 22, 2012 | 11:19:00 AM


KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida  kijana mmoja alijikuta akichezea kipigo kutoka kwa malaya aliye lalanae kwa kosa la kutolipa fedha baada ya kuhudumiwa usiku mzima huko  nchini kenya....

 Malaya huyo Alisema kilicho muumiza mpaka kupelekea kumpiga kijana huyo ni kwasababu kijana huyo alipewa stahili zote alizo hitaji wakati wakifanya mapenzi halafu mwisho wa siku kijana huyo akazingua kulipia huduma aliyopewa .

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts