Wanafunzi wakiwa wametawanyika.
…Wakicheza bao kusubiri mgomo uishe.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Makumbusho, jijini Dar es Salaam, leo walinaswa na kamera yetu wakiwa wamezagaa maeneo mabalimbali ya shule yao bila kuwepo masomo yoyote kufuatia mgomo wa waalimu ulioanza leo.(PICHA : RICHARD BUKOS NA ISSA MNALLY GPL)
Post your Comment


