Wanafunzi wakiandamana kudai haki ya masomo.
Mkuu wa Polisi Wilaya ya Magomeni akiongea na wanafunzi walioandamana akiwasihi warudi shuleni kwao.
Mtandao huu umetembelea sehemu mbalimbali za jiji na kubaini kwamba shughuli za masomo bado zimesimama karibu sehemu zote za jiji, hali ambayo Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Lugimbana alikiri kwa kusema “hali bado ni tete.”
(PICHA: HARUNI SANCHAWA, GPL)
Post your Comment


