Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » TUMUUNGE MKONO MWAKILISHI WA TANZANIA KATIKA FAINALI ZA MISS EAST AFRICA

TUMUUNGE MKONO MWAKILISHI WA TANZANIA KATIKA FAINALI ZA MISS EAST AFRICA

Written By mpekuaji on Wednesday, August 22, 2012 | 1:48:00 PM

 
Mwakilishi wa Tanzania kwenye fainali Miss East Africa Belgium yatakayofanyika tarehe 1 September 2012, Miss Juliana Pierre
Muunge mkono mwakilishi wetu huyu kwenye Fainali husika kwa kuongeza idadi ya kufahamika kwake.
 
Juliana anaomba uingie kwenye ukurasa wake wa (Face book) na kubonyeza kitufe cha “like” kwa anuani hii: https://www.facebook.com/JulianaPierreFinalisteMissEastAfricaBelgium2012
 
Tangaza Vipaji Vyetu,Tangaza Utalii Wetu, Tangaza Tanzania.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts