Naomba uwashauri wakubwa watumie ramani zilizopo kwenye taarifa mbali mbali za miaka ya enzi za ukoloni hasa zilizoko kwenye maktaba (wakati Tanzania inaitwa Tanganyika; na Malawi inaitwa Nyasaland) watapata ukweli kuhusu mipaka yetu.
Wakitumia ramani za siku hizi hawataambulia kitu kwani wenzetu wanatumia IT kubadilisha ramani hizo.
Nimeona hata baadhi ya ramani zinaonesha kuwa mlima kilimanjaro upo Kenya. Hizi ni njama za majirani zetu wanazozitumia ili siku za baadae watumie kuporea rasilimali zetu.
Sisi wananchi tupo tayari kwa lolote.
mdau.
mdau.
Cheki mwenyewe hizi ramania
Ramani ya Nyasaland (Malawi) ya mwaka 1935 iliyopatikana kwenye “Colonial Reports” za Uingereza kama inavyoonekana hapo juu.
Cheki na hizi.


Source: http://www.nigel-roberts.info
1: The map of Tanganyika that Garth Hoets and Nigel Roberts used in 1959 when climbing Mt. Kilimanjaro
Post your Comment