Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » UPDATE:Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) Chasitisha Mgomo Nchi Nzima

UPDATE:Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) Chasitisha Mgomo Nchi Nzima

Written By mpekuaji on Friday, August 3, 2012 | 5:02:00 PM

 Rais Chama cha Walimu nchini (CWT) Mwl. Gratian Mukoba akitoa taarifa ya chama hicho
--
UONGOZI wa Chama Cha Walimu Tanzania (CWT), umesitisha mgomo uliokuwa unaendelea nchini, hivyo kuwataka walimu kurejea kazini.
Rais wa chama hicho, Mukoba amesema wameamua kusitisha mgomo, baada ya kuingiwa na hofu ya viongozi wao wa juu kuhofiwa kukamatwa.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts