Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » "SIWEZI KUTAFUTA UMAARUFU KWA KUTOA PENZI KWA PRODUCER YEYOTE".....LOVENESS

"SIWEZI KUTAFUTA UMAARUFU KWA KUTOA PENZI KWA PRODUCER YEYOTE".....LOVENESS

Written By mpekuaji on Monday, September 10, 2012 | 1:35:00 PM


MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Loveness Witson Mwaseba amefunguka kuwa hataki kutoa penzi kwa maprodyuza na madairekta wakubwa ili apate umaarufu kwa kupewa upendeleo na kuchezeshwa filamu nyingi kama wafanyavyo mastaa wengine.

Loveness alifunguka kuwa kila kukicha huwa anapata usumbufu wa baadhi ya maprodyuza na madairekta wakimtaka kimapenzi ili wampe nafasi ya kucheza movie zao na baada ya hapo wamfanyie promosheni kwenye vyombo vya habari.


“Siko tayari kusaka umarufu kwa kugawa penzi kutoka kwa maprodyuza au madairekta ambao wamekuwa wakinitaka kila siku nifanye hivyo,” alisema Lovenes.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts