Get the latest updates from us for free

mas template
Home » , » BAADA YA KUWAVUNJA MIGUU WANAWAKE SASA NI WAKATI WA KUWAFUNGA ZIPU KICHWANI

BAADA YA KUWAVUNJA MIGUU WANAWAKE SASA NI WAKATI WA KUWAFUNGA ZIPU KICHWANI

Written By mpekuaji on Wednesday, October 10, 2012 | 7:44:00 PM

SASA  TUNAHITIMISHA  KWA  KUWAFUNGA  ZIPU MPENDE  EEH!!!!



 Miaka ya sasa tumeshuhudia ubunifu wa hali ya juu katika soko la mitindo na ubunifu,.Nchi za mbele  wamekuwa wakiumiza vichwa kutengeneza viatu vya ajabu kutokea duniani.

Kiatu ambacho kinakimbiza hivi sasa ni kile chenye visigino viwili kiitwacho  "Scary Beautiful" (pichani juu) kinatajwa kuwa ni kiatu cha ajabu kuliko vyote vilivyopata kutokea kwenye soko la ubunifu



"Scary Beautiful" kiatu kilicholeta mapinduzi ndani ya soko la mitindo, Kazi kwenu akina dada






------------------------------------------------------------------------------

SASA  TUNAHITIMISHA  KWA  KUWAFUNGA  ZIPU MPENDE  EEH!!!!



Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts