Get the latest updates from us for free

mas template
Home » , , » AY NDO MSHINDI PEKEE WA TUZO ZA CHANNEL O MUSIC VIDEO...HONGERA

AY NDO MSHINDI PEKEE WA TUZO ZA CHANNEL O MUSIC VIDEO...HONGERA

Written By mpekuaji on Sunday, November 18, 2012 | 1:12:00 AM



AY ndio msanii pekee kutoka TANZANIA (East Africa) aliyenyakuwa tuzo ya Channel O Music Video Award kwa mwaka huu 2012 katika kipengele cha MOST GIFTED AFRICAN EAST VIDEO OF THE YEAR. Video iliyochukuwa tuzo hiyo ni I DON'T WANT TO BE ALONE akiwa amewashirikisha wasanii kutoka Nairobi Kenya wanakwenda kwa jina la Sauti Sol.

HONGERA  "AY"

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts