Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » HAWA NDIO WAREMBO WATAKAOWANIA TAJI LA MISS EAST AFRICA 2012 NDANI YA MLIMANI CITY TAREHE 7 DECEMBER

HAWA NDIO WAREMBO WATAKAOWANIA TAJI LA MISS EAST AFRICA 2012 NDANI YA MLIMANI CITY TAREHE 7 DECEMBER

Written By mpekuaji on Wednesday, November 28, 2012 | 5:39:00 AM

Warembo watakaowania taji la  Miss East Africa 2012 wakiwa katika vazi la ufukweni, jijini Dar es salaam. Shindano hilo litafanyika tarehe 7 December 2012 (Ijumaa wiki ijayo), kwenye ukumbi wa Mlimani City, Dar es salaam.

Mashindano haya Yanaandaliwa na kumilikiwa na kampuni ya Rena Events Ltd na kudhaminiwa na TANAPA, Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro, Ethiopian Airlines, Seascape Hotel, Darlings Hair, Ako Catering, DTP, Satguru, na Clouds FM.

Burundi

Eritrea

Ethiopia

Kenya

Rwanda

Tanzania

Uganda

Somalia

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts