Get the latest updates from us for free

mas template
Home » , , » ISIKILIZE 'NATAKA KULEWA' YA H-BABA ALIYODAI KUIBIWA IDEA NA DIAMOND.

ISIKILIZE 'NATAKA KULEWA' YA H-BABA ALIYODAI KUIBIWA IDEA NA DIAMOND.

Written By mpekuaji on Friday, November 2, 2012 | 9:50:00 PM


H-baba
Huu ni muendelezo wa ile story ambayo imezungumziwa sana siku chache toka wimbo mpya wa Diamond Platnumz uwe released.

 H-Baba ni msanii aliejitokeza kudai kuwa Diamond amemuibia idea pamoja na jina la wimbo wake ambao pia unaitwa 'Nataka Kulewa'. 

H-Baba aliongeza kuwa Diamond aliusikia wimbo wake huo siku alipokuwa anaurekodi G-Records akiwa na Q Chilla aliyeshirikishwa na H-baba katika wimbo huo.

Sasa tulikuwa hatujausikia wimbo wa 'Nataka Kulewa wa H-baba, iskilize demo fupi ya wimbo huo.





Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts