Wananchi wakiwa wamefurika katika Hospitali ya Temeke, Dar es Salaam leo, wakiwa na hamu ya kutaka kuwaona mwanaume na mke wa mtu waliodaiwa kunasana wakifanya mapenzi katika moja ya nyumba za kulala wageni wilayani Temeke. FFU wakipiga mabomu ya machozi kuwatawanya watu waliofurika Hospitali ya Hospitali ya Temeke Baadhi ya watu waliofurika upande wa Hospitali waktaka kuwaona wapenzi walionasana Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Temeke, Dk. Aman Malima akishangaa kuona umati huo Wananchi wakishinikiza waoneshwe wapenzi hao -------------------------------------------------------------------
HIZI NI BAADHI YA RIPOTI TOKA TEMEKE. BOFYA "PLAY" UZISIKILIZE
Advertisement
hapa