Get the latest updates from us for free

mas template
Home » , » PICHA ZA TUKIO ZIMA LA PONDA ALIPOFIKISHWA MAHAKAMANI AKIWA CHINI YA ULINZI MKALI

PICHA ZA TUKIO ZIMA LA PONDA ALIPOFIKISHWA MAHAKAMANI AKIWA CHINI YA ULINZI MKALI

Written By mpekuaji on Thursday, November 15, 2012 | 6:04:00 PM


 Ulinzio uliimarishwa katika eneo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakati kesi ya Sheikh Ponda Issa Ponda
 Watu waliofika kusikiliza kesi zao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu walipekuliwa na walinzi
 Ponda akiwa Mahakamani
 Askari Magereza akimfunga pingu Sheikh Ponda Issa Ponda baada ya kesi yake kuahirishwa hadi tarehe 29 novemba.
 Watuhumiwa wakiwa mahakamani
 Sheikh Ponda Issa Ponda akizungumza na wakili wake
Sheikh Ponda Issa Ponda akirudishwa rumande

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts