Get the latest updates from us for free

mas template
Home » , , » TUZO ZAMFAFANA AY APATE SHAVU LA KUPIGA COLABO NA J MARTINS

TUZO ZAMFAFANA AY APATE SHAVU LA KUPIGA COLABO NA J MARTINS

Written By mpekuaji on Saturday, November 24, 2012 | 9:43:00 AM


Kwa wale ambao walikuwa wakifuatilia kwa karibu, habari za msanii Diamond kwa kipindi kirefu cha mwaka huu watapata kushangaa nini kimetokea kwa kolabo yake na msanii J Martins ambayo amekuwa akiitangaza mara kwa mara huko nyuma.


Kwa sasa inaonekana msanii huyo kutoka Nigeria atafanya kazi na msanii aliyepata tuzo ya video bora Afrika Mashariki kupitia Kolabo na wasanii wa Kenya Sauti Sol, Ay na swahiba wake wa karibu Mwana FA.

Kwa mujibu wa tetesi za chinichini, mipango yote ya kolabo hiyo imeshaiva na pengine kazi hiyo ikakamilika siku si nyingi.


Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts