Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » HEMEDY PHP AKIRI KULIZIMIKIA TOTO LA KI NIGERIA.....

HEMEDY PHP AKIRI KULIZIMIKIA TOTO LA KI NIGERIA.....

Written By mpekuaji on Friday, December 14, 2012 | 9:10:00 PM



Msanii wa ‘Going Crazy’ Hemedy Suleiman aka PHD amekiri kupitia mtandao wa Twitter kuwa anamzimia mwanamuziki wa Nigeria, Tiwa Savage.

Kupitia Twitter Hemedy ameandika, “IN LOVE WITH TIWA SAVAGE……Daaaah.”

Hata hivyo Hemedy inabidi aendelee tu kuumia sababu Tiwa Savage anafly kwenye matawi mengine kabisa.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts