Get the latest updates from us for free

mas template
Home » , , » KESHO NI UJIO WA NGOMA MPYA YA ROMA MKATOLIKI IITWAYO "2030"

KESHO NI UJIO WA NGOMA MPYA YA ROMA MKATOLIKI IITWAYO "2030"

Written By mpekuaji on Thursday, December 27, 2012 | 1:07:00 PM



Baada ya kukaa kimya kwa zaidi ya mwaka bila kutoa ngoma mpya, hatimaye rapper Roma anatarajia kutoa ngoma yake mpya kesho Ijumaa.


Ngoma hiyo inaitwa 2030 na kama kawaida yake amezungumza masuala mengi pamoja na kutaja majina ya watu wengi maarufu kwa kuoanisha na matukio. 

Hit ya mwisho aliyoitoa Roma ni Mathematics.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts