Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » SISTER P ATUNDIKWA MIMBA......

SISTER P ATUNDIKWA MIMBA......

Written By mpekuaji on Tuesday, December 18, 2012 | 5:24:00 AM



Rapper wa kike aliyewahi kutamba nchini na ngoma kadhaa ukiwemo‘Anakuja’, Sister P anadaiwa kuwa mjamzito, kwa mujibu wa mtu aliye karibu naye.

Msanii wa kizazi kipya, Tanzanite ndiye aliyeitoa habari hiyo kupitia Facebook  kwa kuandika, “hatimae SISTER P apigwa mimba daaaaah, nangoja kuitwa anko daaah siamini.”

Tumeamua kumpigia simu Tanzanite ili kuthibitisha habari hizo ambaye alisema ni kweli kwakuwa Sister P ni kama dada yake na wapo karibu sana.

Tanzanite amesema ujauzito wa Sister P bado ni mchanga lakini amekuwa akionesha dalili zote kuwa ni mjamzito.

Kama ni habari hizo ni za kweli basi hongera kwake Sister P.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts