Get the latest updates from us for free

mas template
Home » , » DAR ES SALAAM WATAHADHARISHWA KHUSU WEZI KWA NJIA YA MTANDAO

DAR ES SALAAM WATAHADHARISHWA KHUSU WEZI KWA NJIA YA MTANDAO

Written By mpekuaji on Monday, January 14, 2013 | 5:52:00 AM



Jeshi la polisi mkoa wa Kipolisi Kinondoni limewatahadharisha wakazi wa jiji la Dar es Salaam kuwa makini na watu ambao ni matapeli Kutokana na kuibuka kwa mbinu mpya ya wizi wa fedha kupitia njia ya mitandao ya simu pamoja na mashine maalum za kutolea fedha Benki ATM.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts