Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » Makamu wa Rais Mhe.Samia Akutana na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Leo.

Makamu wa Rais Mhe.Samia Akutana na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Leo.

Written By Vuvuzela on Wednesday, May 25, 2016 | 5:34:00 PM


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe. Saud Ali Mohamed Al-ruqaishi, wakati Balozi Saud alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo Mei 25,2016 kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa Nchini.



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe. Saud Ali Mohamed Al-ruqaishi, wakati Balozi Saud alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo Mei 25,2016 kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa Nchini.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts