Makamu
wa Rais Samia Suluhu Hassan anaondoka nchini leo kwenda Papua New
Guinea ambako atamwakilisha Rais John Magufuli katika mkutano wa Wakuu
wa nchi za Afrika,Caribbean na Pacific (ACP) ambao utafanyika kuanzia
Mei 30 hadi Juni 01, mwaka huu.
Post your Comment



