Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » Maajabu Tanga...Mwembe Hubadilika kuwa Mwl Nyerere na Mama Nyerere

Maajabu Tanga...Mwembe Hubadilika kuwa Mwl Nyerere na Mama Nyerere

Written By Vuvuzela on Wednesday, June 8, 2016 | 6:24:00 AM


Mti wa  ajabu aina ya Muembe umewavuta mamia ya wakazi wa Tengamano Jijini Tanga kuushuhudia ambapo inadaiwa kuwa mwembe huo ikifika majira ya jioni hubadilika na kuwa  na taswira ya mwalimu Nyerere kwa upande mmoja na Mama Nyerere kwa upande wa pili

Tukio hilo limesemekana lilianza kujitokeza June 6 2016.  "Ni kama muujiza fulani sio kwamba jambo hili liliwahi kujitokeza,  hapa nilipo ndio naona hali halisi ya huu mwembe, ni kama mtu alijaribu kuuchonga"- Anasimulia shuhuda wa Tukio hilo  Awadhi Ally

Bonyeza play hapa chini kusikiliza

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts