Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » Msemaji wa Serikali Azungumza na Diaspora....Jukwaa Langu

Msemaji wa Serikali Azungumza na Diaspora....Jukwaa Langu

Written By Vuvuzela on Tuesday, June 14, 2016 | 11:40:00 AM

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mindi Kasiga
 
 Katika kipindi hiki, tumezungumza na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mindi Kasiga ambaye ameeleza kuhusu nafasi na wajibu wa serikali kwa waTanzania waishio Diaspora.
Pia amegusia wajibu wa waTanzania hao kwa nchi yao na kujibu maswali mbalimbali
Karibu

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts