Pam D amefunguka kuhusiana na taarifa zilizokuwa zimeenea kwenye
mitandao ya kijamii kwamba ana mahusiano ya kimapenzi na Nay wa Mitego.,
Pam amesema:"Kwanza niwajulishe tu mashabiki wangu kuwa ukaribu wangu mimi na Nay
wa Mitego ni washkaji na pia kuna kazi inakuja yangu na Nay ambayo nayo
ndo ilikuwa inatuweka karibu. Hiyo kazi mpya inaitwa ‘Nipe Nono’
Producer Mr. T Touch na kazi inatoka wiki hii. Nadhani watu watakuwa
hapo wameshapata jibu sasa la ukaribu wangu na Nay wa Mitego.”
Post your Comment



