Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. JohPombe Magufuli
akizungumza jambo wakati akiagana na Mchunga
Anthony Lusekelo‘Mzee wa
Upako’ katika kanisa lake la Maombezi lililopo Ubungo Kibangu jijini Dar
es Salaam. Rais
Dkt. Magufuli alihudhuria ibada hiyo pamoja na kukagua barabarainayotoka Ubungo Kibangu hadi Barabara ya Mandela eneo la
Riverside.
Mchungaji wa Kanisa la Maombezi Mchungaji Anthony Lusekelo‘mzee wa upako
akiagana na mke wa Rais Mama Janeth Magufuli mara baada yakuhudhuria
ibada katika Kanisa la Maombezi Ubungo Kibangu jijini Dar es Salaam.
Kushoto ni Rais Dkt. Magufuli akiwashukuru waumini wa kanisa hilo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli wakati wakitoka kwenye kanisala Maombezi la Mchungaji Anthony Lusekelo ‘Mzee wa Upako’ Ubungo Kibangu jijini Dar es Salaam.
Post your Comment






