Naibu
Spika wa bunge, Dk Tulia Ackson ameongezewa ulinzi hasa kipindi hiki
ambacho wabunge wanajadili Bajeti ya Serikali ya mwaka 2016/17. Tangu
Serikali ilipowasilisha bajeti, idadi ya walinzi kwa ajili ya Dk. Tulia
iliongezeka hadi watano idadi ambayo ni kubwa kuliko awali.
Jambo hilo limesababisha hata wabunge wa CCM na wa upinzani kushangaa huku wengine wakihoji sababu. Wapo baadhi ya wabunge waliodhani huenda ulinzi wa Dk. Tulia umeongezwa baada ya kutoa mwongozo mwishoni mwa wiki wa wabunge wa upinzani kutolipwa posho za vikao vyote walivyotoka nje.

Post your Comment