Chanzo chetu kimekutana na Staa kutoka Bongofleva Baraka Da Prince
ambaye ni mpenzi wa mrembo Naj, na kuelezea baadhi ya Headlines ambazo
zinasamba kwenye social network kuhusiana na mpenzi wake kuwa mjamzito,
"Kuhusiana na taarifa za Naj
kuwa mjamzito kusema ukweli mimi siwezi nikaliongelea hilo yaani bado
mapema sana alafu kuhusiana na ndoa kinaweza kikafanyika kitu kwasababu
mimi na Naj tunaishi pamoja alafu mimi namchukulia Naj kama mke wangu kwa
sasa", Baraka Da Prince
Angalia hapa chini
Angalia hapa chini
Post your Comment


