Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » Dkt Harrison Mwakyembe apata ajali, Msafara wa Waziri, Waziri wa Katiba na Sheria

Dkt Harrison Mwakyembe apata ajali, Msafara wa Waziri, Waziri wa Katiba na Sheria

Written By Vuvuzela on Thursday, July 14, 2016 | 12:03:00 PM


Msafara wa waziri wa sheria na katiba Dr. Harrison Mwakyembe jana ulipata ajali baada ya gari lililokua limembeba Mkurugenzi wa mashtaka na makosa ya jinai DPP Biswalo Mganga kupinduka katika kata ya Bwanga wilayani Chato wakitokea mkoani Geita.

Imedaiwa chanzo cha ajali hiyo ni dereva kujaribu kuwakwepa watoto wawili waliokuwa wakikatiza barabara ghafla, taarifa zinadai kuwa katika ajali hiyo hakuna vifo wala majeruhi.



Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts