Msanii wa muziki Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amewatoa udenda wakutosha
mashabiki wa muziki wake hivi karibuni baada ya kuwapa nafasi ya kushika
kiono chake.
Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake ‘Say My
Name’ amefanya tukio hilo katika show yake iliyofanyika Jumamosi
iliyopita katika hotel ya Kijiji Beach Kigamboni.
Katika picha mbalimbali ambazo zimesambaa katika mitandao ya kijamii
zinamuonyesha muimbaji huyo akishikwashikwa kiuno na mashabiki hao huku
wakionyesha kufurahiwa na kitendo hicho.
Pia katika show hiyo muimbaji huyo aliambatana na msanii wake ‘Gaucho’.
Post your Comment





