Diamond Platnumz ambaye ni muda umepita toka athibitishe kufanya collabo
na wasanii mapacha wanaounda kundi la P Square, Peter & Paul leo
July 12 ameamua kuachia rasmi video hiyo iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu
na mashabiki, video mpya Diamond ft P Square inaitwa ‘Kidogo’
Post your Comment


