Home »
udaku
» Shamsa Ford Aamua Kuwaomba Msamaha Wote Aliowakosea kabla ya Harusi yake
Zikiwa zimepita siku chache tu toka habari za Shamsa Ford kutarajia
kuolewa na mfanyabiashara Chid Mapenzi kuzagaa mitandaoni , Leo asubuhi
kaamua kuwaomba msamaha wale wote aliyowakosea ili aweze kuanza ukurasa
mpya bila kinyongo..
Soma hapa alichosema:
"SIKU zote tunamuomba Mwenyezi Mungu atusamehe dhambi zetu lakini sisi
binadamu tunashindwa kusameana hali ya kwamba hakuna mwanadamu
aliyekamilika kama MALAIKA. .Naomba nitumie nafasi hii kumuomba msamaha
kila niliyemkosea katika maisha yangu iwe makusudi au kwa bahati mbaya
.Naomba utafute nafasi ndani ya moyo wako kunisamehe kwasababu nahitaji
kuanza ukrasa mpya wa maisha yangu bila kinyongo na mtu yeyote. .NA ww
pia uliyenikosea kwa chochote nataka ujue nimekusamehe kutoka ndani ya
moyo wangu. .Mungu atufanyie wepesi wa kila jambo na inshaaallah atupe
nafsi za kusameana pale tunapokoseana kwasababu duniani tunapita.
...NAWAPENDA WOTE"
Advertisement
hapa