Ni ukweli usiopingika kwa sasa muziki wa Bongo unazidi kutoboa kwenye nchi nyingi barani Afrika.Joh Makini ni mmoja kati ya wasanii kutoka Tanzania wanaofanya vizuri
kwenye redio na TV za nje huku akiwa na rekodi ya wimbo wake wa ‘Nusu
Nusu’ kuwahi kushika namba moja mwezi Julai mwaka jana kwenye chati za
runinga ya MTV Base.
Post your Comment





