Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » Rais Museveni Wa Uganda Awasili Dar Es Salaam Tayari Kwa Mkutano Wa Viongozi Wa Jumuiya Ya Afrika Mashariki

Rais Museveni Wa Uganda Awasili Dar Es Salaam Tayari Kwa Mkutano Wa Viongozi Wa Jumuiya Ya Afrika Mashariki

Written By Vuvuzela on Thursday, September 8, 2016 | 9:37:00 AM

Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akitambulisha wasaidizi wake kwa Mgeni wake, Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni, alipowasili Ikulu Dar es salaam jana jioni Septemba 7, 2017   tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo
 Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akipeana mkono na Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni  alipowasili Ikulu Dar es salaam jana jioni Septemba 7, 2017 tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo .
 Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni wakiwa na Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika mashariki, Kikanda na Kimataifa Dkt Augustine Mahiga na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Plilip Mpango mara mgeni wake huyo alipowasili Ikulu Dar es salaam leo, tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo.
 Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli katika mazungumzo na Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni mgeni wake huyo alipowasili Ikulu Dar es salaam jana jioni  tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo.PICHA NA IKULU


Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts