Akiwa jijini Los Angeles, Marekani ambako tayari ameshoot video ya wimbo
Marry You aliomshirikisha Ne-Yo, Dimaond Platnumz amekutana na mmoja wa
mastaa maarufu sana Marekani.
Amekutana na mchekeshaji na muigizaji wa filamu, Kevin Hart.Diamond ameweka video akiwa na mchekeshaji huyo kwenye ukurasa wake wa Instagram.Icheki hapa.

Post your Comment