Baada ya kuvunjika kwa kundi la P-Square linaloundwa na ndugu wawili,
Peter na Paul Okoye huku kila mtu akifanya kazi kivyake, hatimaye kundi
hilo limerudi tena kwa wasanii hao kuachia video ya wimbo wao mpya ‘Bank
Alert.
Tazama hapa chini video hiyo.
Tazama hapa chini video hiyo.
Post your Comment



