Mwigizaji huyo amedai amekuwa hana amani kwa ajili ya team Wema.
“Sasa mimi naomba kusema kitu kimoja, naomba kuanzia sasa hivi sitaki
kuijua team Wema, kwa sababu sielewagi team Wema ilitokea wapi, mimi
sijui na sio chanzo cha team Wema na sijui mmetokea wapi mmekuja
kuniharibia maisha yangu,” alisema Wema.
Post your Comment



