Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » Wema Akataa mil 50 kuwa Salome,Awataka WCB wamlipe mil 75

Wema Akataa mil 50 kuwa Salome,Awataka WCB wamlipe mil 75

Written By Vuvuzela on Wednesday, September 21, 2016 | 11:41:00 AM

Mwanadada Wema akiongea na kipindi kimoja cha redio  alipoulizwa yapi maoni yake kuhusu wimbo mpya wa Salome alisema wimbo ni mzuri sana na alitakiwa kufanya video lkn ilibidi walipe mil 75 kama gharama za yeye kutokea kwenye video lkn WCB walitaka kutoa mil 50 ndipo aliposhauriana na uongozi wake na kuamua kukataa.

"Ni kweli ningetokea kwenye video hiyo lakini walitoa pesa madafu,kaka mtangazaji siwezi kuuza sura kwa mil 50,ebu fikiria nimetumia karibia bilioni kutengeneza jina langu,nina biashara za mamilioni,leo Nassib anataka kunipa mil 50,that is not fair kwa kweli"

Mdau yapi maoni yako kuhusu gharama za huyu mlimbwende?

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts