Written By Bigie on Sunday, October 16, 2016 | 12:10:00 PM
Mshambuliaji wa Taifa Stars na klabu ya K.R.C. Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta, ametajwa kuwania tuzo ya mwanasoka bora wa shirikisho la soka barani Afrika, CAF.
Majina hayo 30 yametangazwa jana Jumamosi kupitia tovuti ya shirikisho hilo la soka barani.