Kwa upande wa malkia wa filamu, Jacqueline Wolper ambaye ni mpenzi wa
staa huyo, ameonyesha maandalizi ya kitanda chache kilichopambwa na
madola pamoja na keki kwa ajili ya mpenzi wake huyo ambaye leo hii
ametimiza miaka kadhaa.Pia hatua hii inaonyesha penzi lao kushamiri upendo ndani yake.
Post your Comment



