Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » VIDEO: Nape Nnauye Akiongea Kwa Uchungu Baada ya Mkutano wake Kuzuiwa na Kisha Kutishwa kwa Bunduki

VIDEO: Nape Nnauye Akiongea Kwa Uchungu Baada ya Mkutano wake Kuzuiwa na Kisha Kutishwa kwa Bunduki

Written By Bigie on Thursday, March 23, 2017 | 4:30:00 PM

Aliyekuwa Waziri wa Habari,  Nape Nnauye amezungumza na Waandishi wa habari akiwa juu ya gari lake leo maeneo ya St. Peter Osterbay Dar es salaam  ikiwa ni saa chache baada ya taarifa kutoka Ikulu kutangaza kwamba uteuzi wake umetenguliwa.

Hali hiyo imetokana na Jeshi la Polisi kuuzuia mkutano huo ambapo RPC Kinondoni alifunga barabara kwa gari huku Nape akitishwa kwa Bunduki.

==>Msikilize hapo chini akiongea

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya